Lirik Nakufa
Nakufa - Okello Max/Bensoul/Amlyoto
Lyrics by:Julius McRymboh/Benson Mutua/Brian Amlyoto
Composed by:Julius McRymboh/Benson Mutua/Brian Amlyoto
Sheri kimula mimi nakufa
Ani nya jamoko mami itoyo fuondana
Ahero sana pilirundo ga wiya
Nyathi jomoko adieri ilalo ga pacha
To dong adengo ti kaayudo konyruok na
Ani weauru monda asunge jabatha
Opong' to muol atoti unanimalisa
Niisi na wewe milele mpaka kufa
Unisalie watoto mama
Nakuahidi hutokosa
Ayie idho gode monda aketie kuon e mesa
Aseko yie koro ateri moso anyuola
Mama naaa yeah
Muziki santima muziki bila jasho
Sheri mama baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
Sheri mama baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
Mama sheri
Usiniache nitakufa eeh
Kila unaponipigia simu lazima nitakuja eeh
Ukisema nikuje jioni nitanunua chupa mama
Lolo tupendane mpaka kufa eeh
Oooh Sheri mapenzi ya leo naogopa
Kwanza warembo wa ngolopa
Wameweka mitego kwenye mabar
Ila ukinitega sitakataa
Nitakopa ee nitalima ee mama
Nitachanga nitaiba
Oh oh oh oh tupendane mpaka kufa eeh
Muziki ya pesa muziki bila presha
Sheri mama baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
Sheri mama baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
Baby babe nishaachana na maformu za Ashura babe
Hata Nafula namba yake nimefuta
Naku assure eeh
Usiku silali naona sura yako mrembo
Daily natamani kwako ningekuwa visible
Nateswa na rada kila nikikuona na huyo jamaa
Kweli mama wanifaa waniua
How do I live without you beiby
Nenye khube wanje
Nipeleke Eregi kwa mama
Nimweleze na baba
Girl I need you in my life
Naona wivu when I see you holding hands
Kama mwezi usiku
Baby you know you're the one
Sheri baby you're the one
Mama without you I can die
Baby baby yeah
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa
Sheri baby nakuhitaji yeah
Mama without you siwezi yeah
Baby I will die yeah
Nakufa nakufa nakufa baby yeeeh yeeeh
Nakufa nakufa nakufa