Ma Story 歌词
Ma Story - Gabu/Mbosso
Lyrics by:Gabu
Composed by:Gabu
Buga mi sipendi mastory
Buga mi sipendi mastory
Mami uko fine don't worry worry
Mami uko fine don't worry
Hakuna noma hakuna ngoringori
Usijam sana ushike mori
Mori
You looking fine unakaa better fine
Better fine better fine
My terry ana peperuka
Kila fisi anataka kukukuta
Kutta fi kutta
'Cause you are so beautiful my girl
You are so beautiful
Lakini unanichanganya beiby
Oh yeah
Una machali wengi friendly friendly
Sikucheki kila weekendi
I gotta feel some jealousy
Me nakupenda beiby daily daily
I gotta kiss you beiby daily
Lazima nikushow my beiby am so jealous buga
Buga mi sipendi mastory
Buga mi sipendi mastory
Mami uko fine don't worry
Mami uko fine don't worry
Niko powu sina mambo
Kata maji and I love you
Wewe ni wangu mimi ni wako
Mimi ni wako ooohniko ndaani
Ndaani ndaani
Ndaani ndaani
Ndaani
Nilianza taratibu mwendo
Nikujue kiundani
Pendo lajaa nyingi skendo
Unakosa kitu gani
Sikutaka fumba macho
Wala masikio nisisikie
Sio kwa mazuri yako
Na mabaya niyashuhudie eeh
Mbosso mi sipendi mastory
Mbosso mi sipendi mastory
Kila siku kunifanya mdori
Kunifanya mdori
Mambo ya kudanganya na yashaishaga zamanii
Kama matuktuk kupelekeshana ndo mapenzi ganii
Mbosso mi sipendi mastory
Mbosso mi sipendi mastory
Kila siku kunifanya mdori
Kunifanya mdori
Niko powu sina mambo
Kata maji and I love you
Wewe ni wangu mimi ni wako
Mimi ni wako ooohniko ndaani
Tell me something beiby that I don't know
Tabia zako saa za nikeraa
Niko powu sina mambo
Kata maji and I love you
Wewe ni wangu mimi ni wako
Mimi ni wako ooohniko ndaani
Yeah
Unanidundisha dundisha kwa roho yangu
Umekosa nini Unataka nini
Nikupe nini utulie