收听Reuben Kigame Na Sifa Voices的Baba Yetu歌词歌曲

Baba Yetu

Reuben Kigame Na Sifa Voices2014年1月2日

Baba Yetu 歌词

Baba Yetu (我们的父亲) - Reuben Kigame Na Sifa Voices

Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako

Wewe hulinganishwi na yeyote duniani

 

Mbingu na nchi zakusifu jua na mwezi vyakutukuza

Wanyama wa pori ndege wa angani

Sifa tele kwako bwana

Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote

 

Hoiye usifiwe hoiye milele bwana

 

Tukiomba kwako baba sikio lako li wazi kwetu

 

Macho yako yatuona sisi watoto wako

 

Ulimtoa yesu mwana wako wa pekee

 

Alikufa msalabani sasa tuko huru

Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote

 

Hoiye usifiwe hoiye milele bwana

 

Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote

 

Hoiye usifiwe hoiye milele bwana

Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote

 

Hoiye usifiwe hoiye milele bwana

Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote

Hoiye usifiwe hoiye milele bwana

 

Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote

 

Hoiye usifiwe hoiye milele bwana