Ashua 歌词
Ashua - Zuchu/Mbosso
Lyrics by:Zuhura Soud
Composed by:Zuhura Soud
Aaah aah naa aaah ooh
Mocco
Marahaba marahaba habibi
Dunda kwa mama ngala kupachua
Oooh mahaba mahaba yamzidi
Kindi muchanga chaku chachua
Mmmh tamu zaituni
Tunda la peponi nalila nalila
Game ya sakafuni
Tunadundisha na kipira kipira
Napewa penzi sabuni
Linalonitakasa madhira
Huniita hunny hayuni
Mkali wa tatu bila bila
Upepo wa pwani
Umenipeleka bara
Niongoze usukani
Kwenye penzi barabara
Wakati wako tamba
Ashua ashua ashu ashua
Okey beiby jishongondoe
Ashua ashua ashu ashua
Na roho zao ziwaume
Ashua ashua ashu ashua
Lololo lololololo
Ashua ashua ashu ashua
Tuwachome mapaka shume
Ooooh ooh ooh ooh ooh
Kweli mambo mazuri
Hayataki haraka ooh
Haraka ooh mmh
Kwa dua nimesubiri
Nimepewa nilichotaka ooh
Nilichotaka oooh mmh
Penzi linaninogesha noga
Nampa mchicha ale noga
Vinono vya kunenepesha noga
Sambusa ya nyama tele noga
Kisha namchangamsha noga
Namchezea segere noga
Mwali kujineng'emsha noga
Huku napiga kelele aah aah aah
Upepo wa pwani
Umenipeleka bara
Wewe wangu usukani
Kwenye penzi barabara
Wakati wako tamba
Ashua ashua ashu ashua
Okey beiby jishongondoe
Ashua ashua ashu ashua
Na roho zao ziwaume
Ashua ashua ashu ashua
Lololo lolololo
Ashua ashua ashu ashua
Wakikuuliza mbona huonekani
Tunacheza solo na zumari ndani
Kuingiza kete shimoni
Tunacheza solo na zumari ndani
Makopa kopa kwa malavidavi
Tunacheza solo na zumari ndani
Michezo ya karata kulambishwa mavi
Tunacheza solo na zumari ndani
Dani
Dani