Baikoko (feat. Diamond Platnumz) Lyrics
Baikoko - Mbosso/Diamond Platnumz
Lyrics by:Mbwana Yusuph Kilungi/Nasibu Abdul Juma Issaack
Composed by:Mbwana Yusuph Kilungi/Nasibu Abdul Juma Issaack
Ayo laizer
Kako fine
Kila ninikaweka kwenye line
Bilabila
Shuwaini
Kwake nimelewa kama wine
Tilalila
Ye sisimizi nami gegedu
Tuna gegeduana
Nilivyo sina jinsi
Tajiri wa mbegu
Namuhonga na mwana
Baba mndenge mama mzaramo
Uno lake la kurithi
Kafunga tenge mwali chakalamu
Shetani mwana ibilisi
Jipuu jipu
Uchungu uchungu
Mwana nyuma umejaza
Kishundundu
Kwenye zipu zipu
Kuna kirungu kirungu
Usikamate utawaita wazungu
Eeh heeh
Babu mkuna nazi aah
Haah achutama kishinani
Na msuli wake upo wazi
Mambo yote hadharani
Go go go go goal
Mtoto anadaka
Goli kipa runya mira wabeja
Tena akikata anaitikisa sababu
Baby acha unachezaga baikoko
Unavyo baby baikoko
Unavyoinyonga baikoko
Eeh waonyeshe baikoko
Baby acha unachezaga baikoko
Unavyo baby baikoko
Unavyoinyonga baikoko
Eeh waonyeshe baikoko
Asa komesha dengua dengua
Baby dengua dengua
Ringa dengua dengua
Deka dengua dengua wakuone
Kanivua ndala miguu
Anataka nipite peku peku peku
Kunduchi juu anifikishe kwetu
Kwetu kwetu
Embu tamu ladha ya kitumbua
Rojo ya embe kibada kibadah
Hodari kunengua
Miuno ya ushubwada shubwadah
Nyuma kalisasambua
Kafungasha midabwada bwaadah
Anavyo tafuna mua
Ka kibogoyo dada
Katoto kamelainika kwala kwala
Kapo kama ndizi banana nana
Nitakapeleka kwa mama mama
Mama dangote
Kama kuku twakimbizana zana
Kana ibuka kana zama zama
Kamwili kana balaa na
Lana lana lana kazote
Ebooh mtoto anadaka
Goli kipa ronya mira wabeja
Tena akikata anaitikisa sababu
Baby acha unachezaga baikoko
Unavyo baby baikoko
Unavyoinyonga baikoko
Eeh waonyeshe baikoko
Baby acha unachezaga baikoko
Unavyo baby baikoko
Unavyoinyonga baikoko
Eeh waonyeshe baikoko
Asa komesha dengua dengua
Baby dengua denguagua
Ringa dengua dengua
Deka dengua dengua wakuone
Kama anaifata
Anaima anainuka mwali anaifuata
Kwakujishebedua
Anainama anainuka mwali anaisusa
Kama hataki mwaache
Anaima anainuka mwali anaifuata
Kwa madoidoi
Anaima anainuka mwali anaifuata
Brrrok
Ka mix layzer
Wasafi