Kiki Ni Gigy Lyrics
Kiki - Gigy Money/Sanja
Money
Rrrraa
Mapaparazi simu zenu sipokei
Sipokei
Hakuna jipya nishammwaga moj
Raaaaaaaah
Mmemisi kipi kwangu vingi havipotei
He hei
Gigi msondo ngumi kwa mjumbe sichelewi
Instagram yake eh
Kiki nazo pia zake eh
Waliomo awavumi
Masponsor nao pia wake
Scruuuu
Mi ndo kombe mnaoshindana kwenye ligi
He he
Niite mama Myra AKA gigy
Miaka buku amtaweza hii rumba
Najiamini nina nyota ya mavumba
Hata upige ndere mi kwangu utadunda
Sishindani na watoto walio chunda
Wape kiki wape
Watetemeshe kidogo
Wape kiki
Wachangamshe ubongo
Wapee
Watetemeshe kidogo
Wape kiki
Wachangamshe ubongo
Gigy ni kiki
Kikii
Kiki ni gigigi
Yaaaaaaah
Gigi ni kiki
Kikii
Kiki ni gigigigigi
Gigy ni kiki
Kiki ni gigy
Gigy ni kiki
Yeeeah
Gigy ni kiki ni gigy
Nawasumbua mtaani
Gigigigigigigigigi
Wanataka pima mizani
Gigigigigigigigigi
Uzito wa mambo kichwani
Gigigigigigigigigi
Washapotea kwa ramani
Gigigigigigigigigi
Ndio kifuani nina ndala
Ila waulize tukienda kulala
Namiliki mtoto tawala
Bifu na mimi utaonekana fala
Niwaue nijishaue
Bado napeta wakijikweza niki sanue
Gggrraaa
Miaka buku amtaweza hii rumba
Najiamaini nina nyota ya mavumba
Hata upige ndere mi kwangu utadunda
Sishindani na watoto walio chunda
Wape kiki wape
Watetemeshe kidogo
Wape kiki
Wachangamshe ubongo
Wapee
Watetemeshe kidogo
Wape kiki
Wachangamshe ubongo
Gigy ni kiki
Kikii
Kiki ni gigigi
Yaaaaaaah
Gigy ni kiki
Kikii
Kiki ni gigigigigi
Gigy ni kiki
Kiki ni gigy
Gigy ni kiki
Gigy ni kiki
Gigy ni kiki
Yeeeah
Gigy ni kiki ni gigy
Estu kiss baby