Zuena (feat. Mbosso & Weasel) Lyrics
Zuena - Rayvanny/Mbosso/Weasel
Lyrics by:Raymond Mwakyusa
Composed by:Raymond Mwakyusa
Ey eyo Trone
Mocco
Kimaso maso aah umenifuta machozi
Umenifuta jasho aah
Nimesahau machungu naenjoy kwako aah
Niko dunia nyingine eeh
Nitachonga barabara ya mapenzi mi nipite nawe
Iwe imara imara kwa ujenzi kokoto mawe
Naomba sana saa kwa Mwenyezi nizikwe nawe
Unang'ara ng'ara mbalamwezi such a
Oh my God
I feel so lucky to have you in my life
Oh my love
You are the bleesing for me from above
Oh my love
I'll be your man forever
You will be my wife
Baba God atulinde mi nawe
Together for life yeah
Unapendeza sana sana Zue Zuena
Unanimaliza sana sana Zue Zuena
Zuena aah Zue Zuena
Zuena ooh I love you Zue Zuena
Zue Zue Zue Zuena Zuena
Ah Zuena
Zue Zue Zue Zue Zue Zuena Zuena
Kanitoa bahari ya kusi
Kanileta mashariki Zuena
Mwenye uzungule mwenye nyeusi nyusi
Hizi mbichi haziliki Zuena
Nikupindue pindue
Kama nageuza samaki Samaki
Wasiojua wajue
Nimekupenda sikuachi
Ooh cuano Zuena
Zuena
Zuena
Omo lundi Zuena
Zuena
Zuena
Oh my God
Ooohh
I feel so lucky to have you in my life
Oh my love
You are the bleesing God for me from above
Oh my love
I'll be your man forever
We will be my wife
Baba God atulinde mi nawe
Together for life Zuena
Unapendeza sana sana Zue Zuena
Unanimaliza sana sana Zue Zuena
Zuena aah Zue Zuena
Zuena ooh I love you Zue Zuena
Am addicting mum
Falling for your love my heart twisting
Bolinga ka suti wilge nunamo cuano interesting
Yeah
Chungwa la macho mama
Wanauliza mbona unanipenda
Wanna put a ring in your finger
Wajua wanasema
Vita si ya mjinga
Maisha wawili
Si tujatatenda ah ah aah
Zue Zuena Zue Zuena
Zue Zuena eh eh eh eh eh
Unapendeza sana sana Zue Zuena
Unanimaliza sana sana Zue Zuena
Zuena aah Zue Zuena
Zuena ooh I love you Zue Zuena
Zuena Zue Zue Zue
In everything you do do do
I love you boo boo boo
You are my Zue Zue Zue
I mean Zue Zue Zue
You are my boo boo boo