收聽Diamond Platnumz的Niache歌詞歌曲

Niache

Diamond Platnumz2018年2月2日

Niache 歌詞

Niache - Diamond Platnumz

Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack

 

Hhhhmm

 

Eti nikuombee mema

Na baraka uzidi fanikiwa

 

Siwezi kamwe wala hhhhmm

Ni sawa na kuiforce sinema

Kuitazama na haijanivutia

 

Lazima tu ntalala oooh

Na kwa barabara ukipita

Nenda kulia ukiniona kushoto

 

Sitaki hata tuonane hhhhmm

 

Usije wala ukaniita

Donda vilia utanchochea tu moto

 

Nisije nkutukane hhhhmm

 

Kinachoniumiza nafsi

Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa

Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha

Mwenzangu nje unayatoa

 

Wewe cement mimi mchanga

Nkasema penzi tujenge lisije loa

 

Najitia mkandarasi naezeka mabati

Wewe chini kenchi unabomoa

Niache

 

Niache

 

Niaache oh niache

Niache

Nipambane na moyo wangu

Niache niiaaa

Niache moyo wangu una hasira

Niaache oh niache

Niache

Oooh oh

 

Najitahidi nisilale kwenye kitanda

 

Huenda ntapunguza ndoto zako

 

Hhhhmm

 

Mwilini nina machale utadhani mwanga

 

Yote kuusahau uwepo wako

 

Hhhhmm

 

Laiti kama ningekuwa gari

Ningekugonga barabarani

 

Ama nyuki mtoa asali

Nkung'ate sura wasiitamani

Hivi wewe ungo ulivunja mwali

Ama ulivunja sahani

Kuniundia mateam kwa mitandao

Vijembe vya kazi gani

 

Kinachoniumiza nafsi

Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa

Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha

Mwenzangu nje unayatoa

 

Wewe cement mimi mchanga

Nkasema penzi tujenge lisije loa

 

Najitia mkandarasi naezeka mabati

Wewe chini kenchi unabomoa

Niache oooh niachee

Niache mimi moyo wangu una hasira

Niaache tena ukae mbali

Niache oooh niachee

Niache usiwapigie rafiki zangu

Niache usithubutu hata simu yangu

Niaache chonde tafadhali

Niache niiaaa

 

Iyoo lizer

 

Hhhhmm

Ntakudanganya kwa tabasamu

Ntakudangany kwa kucheka

 

Ntakudanganya hata kwa salamu

 

Ila moyoni nakuchukia

 

Nitakudanganya kukufollow

 

Nitakudanganya kucomment

 

Nitakudangaya kulike picha

 

Ila siwezi kukuzimia

 

Mxiuuuuu