Malaika 歌詞

Malaika - Angelique Kidjo/Orchestre Philharmonique du Luxembourg

Lyrics by:Fadhili William

Composed by:Fadhili William

Produced by:Angelique Kidjo/Jean Hebrail

Malaika

Nakupenda malaika

Malaika

Nakupenda malaika

Nami nifanyeje kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa malaika

Pesa

Zasumbua roho yangu

Pesa

Zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa malaika

Kidege

Hukuwaza kidege

Kidege

Hukuwaza kidege

Nami nifanyeje kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we jiongli

Ningekuoa malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa malaika

Ningekuoa malaika

Ningekuoa malaika

 

Ningekuoa malaika