Sugua Gaga (The Refix) 歌詞
Sugua Gaga (feat. Lamar) (The Refix) - Shaa/Lamar
Written by:Steve Whitey
Wewe nyambonde mimi nyasumi
Matatizo yetu hayafanani
Wewe nyambonde mimi nyasubi
Matatizo yetu hayafanani
Kama una shida unamwambia nani
Watu wanacheza mambo hadharani
Kama una shida unamwambia nani
Hata me za kwangu nimeacha nyumbani
Hatufanani
Hatulingani
Hatufanani
Hatulingani
Jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio mkono kiunoni
Wote jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio mkono kiunoni
Tufanane
Usihofu hasara
Hakuna kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
Njoo tuzisahau shida
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
Njoo tuzisahau shida
Kama kucheza tunacheza wote
Njoo tuzisahau shida
Kama kuimba tunaimba wote
Njoo tuzisahau shida
Kama kucheza tunacheza wote
Njoo tuzisahau shida
Hata kuimba tunaimba wote
Njoo tuzisahau shida
Sina gari na nyumba ila wema nnao
Sina gari na nyumba ila wema nnao
Unataka kushindana na mimi
Huwezi
Maisha yangu uswahilini
Siishi mbezi
Usihofu hasara
Hakuna kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala
Kwanini usipende
Kwanini usiende
Kwanini usicheze
Kwanini usipende
Kwanini usiende
Kwanini usicheze
Wengine chakara chakara
Mashetani yamepanda yamepanda
Ameshika usinga kanasa kwenye kibanda kibanda
Chakara chakara
Mashetani yamepanda yamepanda
Ameshika usinga kanasa kwenye kibanda
Kibanda kibandaa kibandaa
Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga
Usihofu hasara
Hakuna kulala
Usihofu hasara
Hakuna kulala