收聽Fadhili Williams Mdawida的Ewe Wangu歌詞歌曲

Ewe Wangu

Fadhili Williams Mdawida2012年6月14日

Ewe Wangu 歌詞

Ewe Wangu - Fadhili Williams Mdawida

Ewe wangu

Mbona wanisumbua

 

Ewe wangu

 

Mbona wanisumbua

 

Ninatoka kwetu mbali

 

Kukufata wewe

 

Ninatoka kwetu mbali

 

Kukufata wewe

 

Ee kipenzi nisikize

 

Ee kipenzi nisikize kipenzi changu

 

Mama tungali vijana

 

Ewe wangu wee usinisumbue

 

Utakuja juta ee unikumbuke

 

Ewe wangu wee usinisumbue

 

Utakuja juta ee unikumbuke

 

Ewe wangu

 

Mbona wanisumbua

 

Ninatoka kwetu mbali

 

Kukufata wewe

 

Ninatoka kwetu mbali

 

Kukufata wewe

 

Ewe wangu wee

 

Usinisumbue