收聽Tanasha Donna的Gere歌詞歌曲

Gere

Tanasha Donna, Diamond Platnumz2020年2月19日

Gere 歌詞

Gere - Tanasha Donna/Diamond Platnumz

Lyrics by:Tanasha Donna/Nasibu Abdul Juma Issaack

Composed by:Tanasha Donna/Nasibu Abdul Juma Issaack

Zigila parapampapa

Donna na Chibude

Aio light sa

Oh yeah

It's Platnumz

Eeh ati unapenda kooni

Nikikupa mpaka morning

Nikipekenya pekenya

Nisiwahi ichelewe

Nikikuchum mdomoni

Touch touch kiunoni

Niwe natekenya tekenya

Nakufanya ulewe

Boy you are my sweet chocolate monster

Sorry I contaplate on that

And baby better ride for me

And show me that you are mine

I'ma go downtime for yah

Call you king put a crown on yah

And baby take your time with me

Let's flow like river Nile

Hapa asa show me ile kitu amekupa mama

Hebu chutama kama inazama

Nikupige chenga kwa danadana

Tuwafunge kelele

Jioni usiku mchana jua likizama

Tuanza kandana

Nikuonyeshe kile amenipa mama

Si wafunge kelele

Maana wanaona

Wanaona gere wanaona gere

Wanaona

Wanaona gere

Wanaona ge ge ge ge

Wanaona gere wanaona gere

Wanaona

Wanaona gere

Wanaona ge ge ge ge

Don't you ever leave me solo

Or disappoint me with these basic hoes

You make my mind go lokoloko

Utawapa misemo wa nokonoko

And you better tell them that you are mine

Better be my ride or die

Kabla ya kuwika jogoo

Asubuhi niamshe na kimoko

Eeeh Mama kasema mwali mwana

Nimepata nitulie Simba

Oh nitulie Simba

Oh nitulie Simba

Zile chenga vidanga dana

Vicheche nichunie Simba

Oh nichunie Simba

Oh nichunie

Asa beiby ebu show me

Ile kitu amekupa mama

Hebu chutama kama inazama

Nikupige chenga kwa danadana

Tuwafunge kelele

Jioni usiku mchana jua likizama

Tuanza kandana

Nikuonyeshe kile amenipa mama

Si wafunge kelele

Maana wanaona

Wanaona gere wanaona gere

Wanaona

Wanaona gere

Wanaona ge ge ge ge

Wanaona gere wanaona gere

Wanaona

Wanaona gere

Wanaona ge ge ge ge

Asa beiby nikomeshe

Kati katika kata

Kati kati katika kata

Donna katika kata

Oh beiby katikakata

When you hold on to me kata

Go down follow my knees kata

Moving side to side beiby kata

 

Oh kati kata