Muujiza Wako 歌詞
Muujiza Wako - Fanuel Sedekia
Muujiza wako Ndugu wapatikana
Katika ya le madogo unayodharau
Mungu huagi
Huagiza nenda kafanye
Muujiza wako uta ukuta pale
Muujiza wako Ndugu wapatikana
Katika ya le madogo unayodharau
Mungu huagi huagiza nenda kafanye
Muujiza wako uta ukuta pale
Kwa mfano wa Nahman
Jemedari wa shamum
Yule mgonjwa wa ukoma
Alipata kutakaswa ah
Elisha alimwagiza
Aende mto Yordani
Akaoge mara saba
Akapata kutakaswa
Kwa mfano wa Nahman
Jemedari wa shamum
Yule mgonjwa wa ukoma
Alipata kutakaswa ah
Elisha alimwagiza
Aende mto Yordani
Akaoge mara saba
Akapata kutakaswa
Kwa mfano wa Nahman
Jemedari wa shamum
Yule mgonjwa wa ukoma
Alipata kutakaswa ah
Elisha alimwagiza
Aende mto Yordani
Akaoge mara saba ooh
Akapata kutakaswa
Kwa mfano wa Nahman
Jemedari wa shamum
Yule mgonjwa wa ukoma
Alipata kutakaswa ah
Elisha alimwagiza
Aende mto Yordani
Akaoge mara saba ooh
Akapata kutakaswa
Neno la Bwana lina nguvu
Neno la Bwana lina nguvu
Kwa kuwa Bwana amesema
Neno lake atatimiza ah
Jambo unalolidharau
Fanya hima ukalifanye
Ungeambiwa jambo kubwa
Mbona hilo ungelifanya
Ohh neno la Bwana lina nguvu
Neno la Bwana lina nguvu
Kwa kuwa Bwana amesema
Neno lake atatimiza ah
Jambo unalolidharau
Fanya hima ukalifanye
Ungeambiwa jambo kubwa
Mbona hilo ungelifanya
Hey
Neno la Bwana lina nguvu
Neno la Bwana lina nguvu
Kwa kuwa Bwana amesema
Neno lake atatimiza ah
Jambo unalolidharau
Fanya hima ukalifanye
Ungeambiwa jambo kubwa
Mbona hilo ungelifanya
Hey
Neno la Bwana lina nguvu
Neno la Bwana lina nguvu
Kwa kuwa Bwana amesema
Neno lake atatimiza ah
Jambo unalolidharau
Fanya hima ukalifanye
Ungeambiwa jambo kubwa
Mbona hilo ungelifanya
Neno la Bwana lina nguvu
Neno la Bwana lina nguvu
Kwa kuwa Bwana amesema
Neno lake atatimiza ah
Jambo unalolidharau
Fanya hima ukalifanye
Ungeambiwa jambo kubwa
Mbona hilo ungelifanya
Hey neno la Bwana lina nguvu
Neno la Bwana lina nguvu
Kwa kuwa Bwana amesema
Neno lake atatimiza ah
Jambo unalolidharau
Fanya hima ukalifanye
Ungeambiwa jambo kubwa
Mbona hilo ungelifanya
Hey
Neno la Bwana lina nguvu
Neno la Bwana lina nguvu
Kwa kuwa Bwana amesema
Neno lake atatimiza ah
Jambo unalolidharau
Fanya hima ukalifanye
Ungeambiwa jambo kubwa
Mbona hilo ungelifanya
Neno la Bwana lina nguvu
Neno la Bwana lina nguvu
Kwa kuwa Bwana amesema