Adamu Na Hawa 歌詞
la la la la
la la la la di la
la la la la la la
la la
You take me away kama
Adamu na Hawa
Romeo na Julia
wakipendana wawili
hugeuza dunia
na nishakupenda
nakuombea doa
usibadili nia wee
nikuenzi my dear you make me go
ooh la la la
Samsoni na Delila
Yusufu na Maria
wakipendana wawili
hugeuza dunia
na nishakupenda
nakuombea doa
usibadili nia wee
nikuenzi my dear you make me go
ooh la la la
you take me away away away
away away away
away away away
away away away
away away away
away away away
相關歌曲
熱門歌曲