收聽Miriam Makeba的Malaika (Live)歌詞歌曲

Malaika (Live)

Miriam Makeba2013年1月1日

Malaika (Live) 歌詞

Malaika (傳統歌曲:天使) (Live) - Miriam Makeba (米瑞安·馬卡貝)

Malaika nakupenda Malaika

 

Malaika nakupenda Malaika

 

Ningekuoa mali we ningekuoa dada

 

Nashindwa na mali sina we

 

Ningekuoa Malaika

 

Nashindwa na mali sina we

 

Ningekuoa Malaika

 

Pesa zasumbua roho yangu

 

Pesa zasumbua roho yangu

 

Nami nifanyeje kijana mwenzio

 

Nashindwa na mali sina we

 

Ningekuoa Malaika

 

Nashindwa na mali sina we

 

Ningekuoa Malaika

 

Kidege hukuwaza kidege

 

Kidege hukuwaza kidege

 

Nami nifanyeje kijana mwenzio

 

Nashindwa na mali sina we

 

Ningekuoa Malaika

 

Nashindwa na mali sina we

 

Ningekuoa Malaika

 

Nami nifanyeje kijana mwenzio

 

Nashindwa na mali sina we

 

Ningekuoa Malaika

 

Nashindwa na mali sina we

 

Yes I love you my angle

 

I said I love you my angle

 

Ningekuoa Malaika

 

 

Ningekuoa Malaika