Baila 歌詞
Baila (feat. Miri Ben-Ari) - Diamond Platnumz/Miri Ben-Ari
Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack
Kama unanipenda sana
Umarufu weka mbali
Na ile nyumba ni ya mama
Hivyo usiwaze madale
Isiwe kesho madrama
Pigiwa simu na tale
Eti insta natukanwa
Umeshanzisha kware
Yani moyo wangu
Mwepesi kupenda na mgumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda kinidharau
Moyo wanguuuu
Hodari kugawa wakunipa sina
Moyo wanguu
Ndo maana nasisitiza usije na weee
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Bailaaa mamaaa
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Bailaaa mamaaa
Ah muziki vitaaa hawataki niendelee
Hivyo ukipata nafasi tafadhali niombeee
Na nyumbani visa ndugu zangu wazoeee
Itaniumiza nafsi ikifika musiongee
Na mashemeji kwa ofisi mnapocheka nao
Tahadhari sana
Siunajua wanamuziki vitabia vyao
Wamejawa tamaa
Na dada zangu mawifi chunga nyendo zao
Usipelekwe mrama
Wakikumbia kaniki mara chota nyayo
Jua mumeo na kwama
Utamu wa bigijii nikutafuna
Usimeze rodaaa ongeza tu bidii
Kunikuna sio kuniroga
Kunikomba zaidii pika nguna
Ntaleta mbogaa kunipenda ka hivii
Kwetu suna shushie na soda
Yani moyo wangu mwepesi kupenda mgumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nampenda akinidharau
Moyo wanguuuu
Hodari kugawa wakunipa sina
Moyo wanguu
Ndo maana nasisitiza usije na wee
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila me hoi
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila me hoi
Usiseme love me then u lying
Usiseme love me then u lying aah
Usiseme love me then u lying
Mmmh
Usiseme love me then u lying aahhh
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mamaaa
Baila baila baila
Oooh baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Bailaaa mamaaa