ดาวน์โหลดและฟังเพลง I Miss You พร้อมเนื้อเพลงจาก Harmonize

ฟังเพลงI Miss You

Harmonize14 มี.ค. 2020

เนื้อเพลง I Miss You

I Miss You - Harmonize

Lyrics by:Rajabu Abdukahal Ibrahim

Composed by:Rajabu Abdukahal Ibrahim

Yeah yea yeah yea

Yeah yea yeah yea

Oh no

Yeah yea yeah yea

Oh no

Only you in my mind

Nahisi mwingine hakuna

Kwenye hii dunia

I don't know what you do never mind

Hata salamu unauchuna vimeseji nikikutumia

Ingawa silijui kosa ila fanya unisamehe

Umeniadhibu vya kutosha japo imani nionee

Oooh baby nikilala naota naota kama unaniita

Ila nafsi inasita ipo siku nitaitika

Oooh nikilala naota naota kama unaniita

Ila nafsi inasita ipo siku nitaitika my baby

I miss you

I miss you

Ukiona mtu mzima ma

Analia ujue kuna jambo I miss you

Maji hayapandi mlima ma

Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo I miss you

Mmmh

Nilisacrifice my love for you oooh ooh

Leo unaniona sifai na matusi juu oooh ooh

Natamani urudi mama Ila siwezi kukufosi fosi

Punguza makusi drama hizo mbwembwe na maposti posti

Kutwa nashinda Insta nazitazama zako picha

Usiombe bando likiisha mi mpweke la yote tisa

Oooh nikilala naota naota kama unaniita

Ila nafsi inasita ipo siku nitaitika

Oooh nikilala naota naota kama unaniita

Ila nafsi inasita ipo siku nitaitika my baby

I miss you

I miss you

Ukiona mtu mzima ma Analia ujue kuna jambo I miss you

Maji hayapandi mlima ma mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo I miss you

Nikilala naota

Naota kama unaniita

Ila nafsi inasita mpenzi

Ipo siku utaitika

Nikilala naota

Naota kama unaniita

Ila nafsi inasita mpenzi

 

Ipo siku utaitika

เกี่ยวกับเพลงนี้ :

I Miss You สามารถฟังออนไลน์ได้แล้วตอนนี้ - I Miss You โดย Harmonize ถูกปล่อยออกมาเมื่อ 14 มี.ค. 2020 นำเสนอโดย Harmonize เป็นเพลงที่สร้างสรรค์ได้อย่างดีเยี่ยม เพราะฉะนั้นอย่ารอช้า คุณสามารถ ดูมิวสิควิดีโอเพลง I Miss You ล่าสุด ฟังเพลงและเพลิดเพลินกับเนื้อเพลง ดาวน์โหลด JOOX Application ได้เลยตอนนี้

Tags ที่เกี่ยวข้อง :

I Miss You (โดย Harmonize), I Miss You, I Miss You มิวสิควีดีโอ, I Miss You เนื้อเพลง, Harmonize เพลง