Bado Lyrics
Bado - 하모나이즈/Diamond Platnumz
Lyrics by:Rajabu Abdukahal Ibrahim
Composed by:Rajabu Abdukahal Ibrahim
Aaaah
Umhum
Kutwa kidomo wazi nikifuta na machozi
Huku namuomba Mola unitoke moyoni
Ila ndo siwezi nakesha ka mlinzi
Maana hata nkilala unaniijia ndotoni
Lato asante kwa kuniumiza
Nimejifunza mengi mwanzo sikuyajua
Katu naapa kutolipiza
Ila mwambie mapenzi abaki kuyasikia eeeh eeeh
Nakumbuka maneno yako
Hutonikimbia utabaki namiii
Tena ukala na viapo Taurat Bibilia
Leo sikuoni
Ila mwenzako bado
Bado bado bado bado
Mwambie bado
Bado bado sijapona
Ila mwenzako bado
Bado bado bado bado
Mmh bado
Bado bado sijapona
Misijapona roho
Mmhh mmh
Aa ah Mola nishike mkono Baba Muumba
Haya ninayoyaona simanzi
Ah yaani bora jicho mchanga ningefumba
Huenda ningeshapona maradhi
Oh maumivu yangu hayawezi kupona kwa vidonge
Sababu panaponichoma nikipapasa sipaoni
Kweli peke yangu umeniacha na unyonge
Kabisa wakanipokonya tonge langu mdomoni
Onana nakumbuka maneno yako
Hutonikimbia utabaki namiii
Oh mi ndo mwili mi roho yako
Yaani umetimia mbona sikuoni
Ila mwenzako mimi
Bado bado mmh mmh bado bado
Mwambie bado
Bado bado sijapona
Ila mwenzako bado
Bado bado bado bado
Mmh bado
Bado bado sijapona
Ah aah ile roho yangu mama
Ibebe
Inandondoka
Ibebe
Iokote mama
Ibebe Chaukucha nsije zima
Ooh roho yangu
Ibebe
Inandondoka
Ibebe
Njoo unishike mama ooh
Chaukucha nsije zima
Ah aah ai wewe
Ibebe
Watanizika mama
Ibebe
Mwenzio taabani
Ibebe Chaukucha nsije zima
Masikini pendo langu
Ibebe
Linandondoka
Ibebe
Niokote mama
Ibebe Chaukucha nsije zima
Ibebe ibebe
Ibebe Chaukucha nsije zima
Ibebe ibebe
Ibebe Chaukucha nsije zima