เนื้อเพลง Ewe Wangu
Ewe Wangu - Fadhili William
Ewe wangu
Mbona wanisumbua
Ewe wangu
Mbona wanisumbua
Ninatoka kwetu mbali
Kukufata wewe
Ninatoka kwetu mbali
Kukufata wewe
Ee kipenzi nisikize
Ee kipenzi nisikize kipenzi changu
Mama tungali vijana
Ewe wangu wee usinisumbue
Utakuja juta ee unikumbuke
Ewe wangu wee usinisumbue
Utakuja juta ee unikumbuke
Ewe wangu
Mbona wanisumbua
Ninatoka kwetu mbali
Kukufata wewe
Ninatoka kwetu mbali
Kukufata wewe
Ewe wangu wee
Usinisumbue
เกี่ยวกับเพลงนี้ :
เพลงนี้ถูกปล่อยออกมาในวันที่ 18 ส.ค. 2010, เพลง Ewe Wangu จาก Fadhili William ที่ร่วมกันสร้างสรรค์ท่วงทำนองและเนื้อร้องได้ยอดเยี่ยม
ดาวน์โหลด JOOX Application และ รับฟังเพลง, ชมมิวสิควีดีโอ และอ่านเนื้อเพลง แบบออนไลน์ได้ทุกที่ทุกเวลา
Tags ที่เกี่ยวข้อง :
Ewe Wangu (โดย Fadhili William), Ewe Wangu, Ewe Wangu มิวสิควีดีโอ, Ewe Wangu เนื้อเพลง, Fadhili William เพลง