Dengarkan lagu Tanzania Ya Sasa nyanyian Zuchu dengan lirik

Tanzania Ya Sasa

Zuchu11 Jun 2020

Lirik Tanzania Ya Sasa

Tanzania Ya Sasa - Zuchu

Lyrics by:Zuhura Soud

Composed by:Zuhura Soud

 

We mama njoo

Njoo uone nchi ilivyobadilika

Tanzania ya leo

Imejengwa imejengeka

Vitaa uhungo tazara

Za juu barabara tayari zinatumika

Reli yenye fiwa govora

Standard Gauge karibu inakamilika

Tanzania ya sasa mama hai mama

Ya maghufuli mama hai mama

Inawaka waka mama hai mama

Inapendeza sana hai mama

Tanzania ya sasa mama hai mama

Ya ccm mama hai mama

Inawaka waka mama hai mama

Inapendeza sana

Nasema jua lile literemke mama

Jua lile literemke mama

Nasema wapinzani watetereke sana

Wapinzani watetereke sana

Jamani jua lile literemke mama

Jua lile literemke mama

Wabaki wapinzani watetereke sana

Wapinzani watetereke sana

Wazee watoto wanawake hospitali bure

 

Bure magufuli huyoo

Elimu ya msingi pamoja na sekondari bure

Bure magufuli huyoo

Ccm hai hai hai hai

Magufuli hai hai hai hai

Wapinzani wamekaa kaa kaa kaa kaa

Wamekaa kaa kaa kaa kaa

Doctor Sheni hai hai hai

Mama Samia hai hai hai hai

Wapinzani wamekaa kaa kaa kaa kaa

Wamekaa kaa kaa kaa kaa

Majaliwa hai hai hai hai

 

Nabashiru hai hai hai hai

Wapinzani wamekaa kaa kaa kaa kaa

Wamekaa kaa kaa kaa kaa

Tanzania ya sasa mama hai mama

Ya maghufuli mama hai mama

Inawaka waka mama hai mama

Inapendeza sana hai mama

Tanzania ya sasa mama hai mama

Ya Ccm mama hai mama

Inawaka waka mama hai mama

Inapendeza sana

Nasema jua lile literemke mama

Jua lile literemke mama

Nasema wapinzani watetereke sana

Wapinzani watetereke sana

Jamani jua lile literemke mama

Jua lile literemke mama

Wabaki wapinzani watetereke sana

Wapinzani watetereke sana

Mzee mangula hai hai hai hai

Paul Pole hai hai hai hai

Wabunge wote hai hai hai hai

Kamati kuu hai hai hai hai

Wajumbe wa nurse hhai hai hai hai

Wenye viti wa mitaa hai hai hai hai

Wenye vituo vitongoji hai hai hai hai

Mabalozi hai hai hai hai

Ccm hai hai hai hai

Magufuli hai hai hai hai

Wapinzani wamekaa kaa kaa kaa kaa

 

Wamekaa kaa kaa kaa kaa