收聽Diamond Platnumz的I Miss You歌詞歌曲

I Miss You

Diamond Platnumz2017年7月21日

I Miss You 歌詞

I Miss You - Diamond Platnumz

Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack

Hello hapo vipi sijui unanisikia

Hello nnamaneno natamani kukwambia

Hello tafadhari usije nikatia

 

Hello ona mpaka nasaau kusalimia

Habari ghani leo nimekukumbuka sana

Na mama yangu twakuwazagaa

 

Vipi nyumbani hali ya mumeo na wana

Na aunty shani wa chimwagaa ah ah

 

Kile kidonda changu cha roho bado kinanitia tabu

 

Nnajitaidi kukaza roho ila nadhidisha adhabu

Tena silali oh nasubiri maajabu

Maumivu yangu yaje apate dawa

I miss you nakukumbuka iye iyeh

 

I miss you nakukumbuka iye iyeh

I miss you nakukumbuka iye iyeh

I miss you nakukumbuka iye iyeh

Na roho yangu mama bingili bingili

Ah nikikuwaza bingili bingili

Nikisinzia bingili bingili bayoyo

Oh nikilala bingili bingili

Ih inama inuka uwoh bingili bingili

Uku sina raha bingili bingili bayoyo

 

Ah iyeeeh ah iyeeeh

 

Tatizo kwetu sijui nini kosa langu

Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga

Nawaza ila siambui ama shida zangu

Simba nikawa chui mi roho inaniumaga

Yawezekana ahadi zangu zisizotimia

Ndio maana haukutaka kusubiria

Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia

Chai mchana usiku dona kurumaghia

Nilitamani sana ila wangu vyangu palinishia

Ningalikua na uwezo ningekutimizia

Mingali unafuraha haya maumivu ntayavumilia

Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh

Nakumkumbuka iyeeh iyeh

Nakumkumbuka sana ooh

I miss you nakukumbuka iye iyeh

 

I miss you nakukumbuka iye iyeh

 

I miss you nakukumbuka iye iyeh

Ah na roho yangu mama bingili bingili

Ah nikikuwaza bingili bingili

Nikisinzia bingili bingili bayoyo

Oh nikilala bingili bingili

Ih inama inuka uwoh bingili bingili

Uku sina raha bingili bingili bayoyo

Ata nikila bingili bingili

Nikikuwaza bingili bingili

Nikilala heeh bingili bingili bayoyo

Ooh ona roho yangu mama bingili bingili

Ah nikikuwaza bingili bingili

Nikisinzia bingili bingili bayoyo

 

Heeeh roho yangu mama bingili bingili

Heh heh heeh bingili bingili

Heh heh heeh bingili bingili bayoyo

Oooh roho yangu mama bingili bingili

Ih inama inuka uwoh bingili bingili

Ajabu sina raha bingili bingili bayoyo

 

Ah ata nikila